News

Posted On: Sep, 07 2021

UZINDUZI MISUNGWI

News Images

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wenye thamani ya shilingi bilioni 13.77 wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Misungwi, Mkoani Mwanza Tarehe 14 Juni, 2021