DAWATI LA HUDUMA KWA WATEJA - MWAUWASA

Posted On: Oct 17, 2023


Watumishi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) wakitoa elimu juu ya huduma ya Maji pamoja na Usafi wa Mazingira kwa wakazi wa Kata ya Kayenze kupitia dawati la huduma kwa wateja.

MWAUWASA imefungua dawati la huduma kwa wateja ili kusogeza huduma kwa wakazi wa maeneo mbalimbali