Announcements
TOA TAARIFA ZA WIZI WA MAJI SASA UJIPATIE DONGE NONO
Piga simu namba 0800710498 kutoa taarifa ya wizi wa maji, taarifa itapokelewa kwa usiri na mtoa taarifa atapatiwa Don...... Read More
Posted On: Jul 04, 2024
Ufuatiliaji wa Madeni
Zoezi la ufuatiliaji wa malipo ya huduma za maji kwa Wateja wenye madeni ya muda mrefu linaendelea katika maeneo mbal...... Read More
Posted On: Mar 08, 2024
Preventive maintenance Kona ya Bwiru
Mpendwa Mteja, Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) inakufahamisha kuwa itafanya matengenezo z...... Read More
Posted On: Mar 08, 2024
TUNZA MAZINGIRA
Ndugu Mwananchi, Mkoa wa Mwanza ni miongoni mwa mikoa iliyoainishwa na Mamlaka ya hali ya hewa Tanzania (TMA) kuwa un...... Read More
Posted On: Nov 24, 2023
OFA MAALUM KWA WATEJA WALIOSITISHIWA HUDUMA YA MAJI KWA KUSHINDWA KULIPA BILI
Mteja aliyesitishiwa huduma atalipa deni lake lote na atarejeshewa huduma ya maji bila kulipa ada ya kurejeshewa hudu...... Read More
Posted On: Oct 05, 2023
TUNASHIRIKI NANENANE
MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE 2023.
Ndugu mteja Karibu tuelimishane, tutembelee katika banda letu upate ufahamu...... Read More
Posted On: Aug 04, 2023
Zoezi la Uhakiki wa Wateja
Zoezi la Uhakiki wa Wateja: Tunafanya uhakiki wa wateja wetu na kwa kuanzia tumeanza na wateja wanaohudumiwa na Ofisi...... Read More
Posted On: Aug 03, 2022
Epuka kutapeliwa
Ndugu Mteja,
MWAUWASA haipokei FEDHA taslimu. Malipo yote yanapaswa k...... Read More
Posted On: Apr 27, 2022
HUDUMA YA UONDOSHAJI WA MAJITAKA MAJUMBANI
Huduma ya uondoshaji wa majitaka majumbani
Read More
Posted On: Nov 20, 2020
Sheria ya Maji na Usafi wa Mazingira Namba 5/2019
Sheria ya Maji na Usafi wa Mazingira Namba 5/2019
Read More
Posted On: Aug 14, 2020