OFA MAALUM KWA WATEJA WALIOSITISHIWA HUDUMA YA MAJI KWA KUSHINDWA KULIPA BILI

Posted On: Oct 05, 2023


Mteja aliyesitishiwa huduma atalipa deni lake lote na atarejeshewa huduma ya maji bila kulipa ada ya kurejeshewa huduma (Reconnection Fee). Ofa hii maalum inatolewa kuanzia tarehe 5 Oktoba, 2023 hadi tarehe 31 Oktoba, 2023.