Ziara ya Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Mathew Mkoani Mwanza
TOA TAARIFA ZA WIZI WA MAJI KATIKA MIUNDOMBINU YA MWAUWASA SASA UJIPATIE DONGE NONO KWA KUPIGA SIMU NAMBA O800710498
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji MWAUWASA, Neli Msuya akishiriki zoezi la maboresho ya miundombinu ya maji Kanindo- Kishiri 21/05/2024
Muonekano wa Mradi wa Maji wa Butimba 6 Mei, 2024; Unazalisha maji kiasi cha lita milioni 48 kwa siku
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti katika picha ya pamoja na viongozi wa Mkoa wa Mwanza katika mradi wa maji Butimba
MWAUWASA imeshiriki kwenye maonesho ya NaneNane Mwaka 2023 kwenye viwanja vya Nyamhongolo
Watumishi wa MWAUWASA wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa Butimba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango katika picha ya pamoja na Menejimenti ya MWAUWASA
Washirika wa maendeleo wakijadili hatua za utekelezaji wa miradi ya maji inayotekelezwa kupitia Programu ya LV WATSAN
Muonekano wa mradi wa maji wa Kyaka/Bunazi ambao utekelezwaji wake umesimamiwa na MWAUWASA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji Kyaka- Bunazi Wilayani Misenyi Mkoani Kagera 09 Juni, 2022
Malipo ya Serikali yanafanyika kwa "Control Number" kupitia Benki, Wakala wa Benki ama Mitandao ya simu
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 8 Machi, 2022
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya MWAUWASA walipofanya ziara kwenye mradi wa maji wa Kyaka Bunazi
Epuka kutupa Taka ngumu kwenye Mfumo wa Majitaka
Mwenyekiti wa MWAUWASA, Christopher Gachuma akizungumza wakati wa Kikao na Wadau wa Maji
Ziara ya Wadau wa Maji kwenye Chanzo cha Maji cha Capripoint
Jiunge na Mtandao wa majitaka
The Headquarter of Mwanza Urban Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA)
Moja ya tenki la maji lililojengwa eneo la Mjimwema kupitia Mpango wa Uboreshaji wa Huduma ya Maji na Usafi wa Mazingira katika Jiji la Mwanza lengo likiwa ni kuongeza upatikanaji wa huduma