News

TUNAKUSIKILIZA NA KISHA TUNATEKELEZA

Katika kuhakikisha tunaboresha huduma ya maji kwenye maeneo tunayohudumia, tumedhamiria kukutana na wadau mbalimbali ili kujadili namna bora ya uboreshaji wa huduma. Read More

Posted On: Sep 07, 2021

MWENGE WA UHURU 2021 WARIDHISHWA NA MATUMIZI YA FEDHA MRADI WA MAJI NYEGEZI

Kiongozi wa mbio maalumu za Mwenge wa Uhuru kitaifa mwaka 2021 Luteni Josephine Mwambashi ameridhishwa na matumizi ya fedha katika mradi wa maji wa Majengo Mapya Nyegezi Wilayani Nyamagana. Read More

Posted On: Sep 07, 2021

MWENGE WA UHURU WAPONGEZA UBORA WA MRADI WA MAJI BUSWELU

Kiongozi wa Mbio Maalum za Mwenge wa Uhuru 2021, Luteni Josephine Mwambashi amepongeza ubora wa mradi wa ujenzi wa tenki la maji Buswelu na amewaasa wananchi kuhakikisha wanatunza vyanzo vya maji pamoja na miundombinu ya maji. Read More

Posted On: Sep 07, 2021

UZINDUZI MISUNGWI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mradi wenye thamani ya shilingi bilioni 13.77 wa Majisafi na Usafi wa Mazingira Misungwi, Mkoani Mwanza Tarehe 14 Juni, 2021 Read More

Posted On: Sep 07, 2021

MWAUWASA IMEFANYA KAZI NZURI NANSIO

Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amepongeza jitihada za MWAUWASA za kuwafikishia huduma ya majisafi na salama wananchi wa Nansio Wilayani Ukerewe. Read More

Posted On: Sep 07, 2021

Naibu Waziri aridhishwa na ujenzi wa miradi ya MWAUWASA

Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi ameridhishwa na ujenzi wa miradi ya maji inayotekelezwa na kwenye Wilaya za Nyamagana na Ilemela Mkoani Mwanza. Read More

Posted On: Mar 01, 2021