Epuka kutapeliwa

Posted On: Apr 27, 2022


Ndugu Mteja,

MWAUWASA haipokei FEDHA taslimu. Malipo yote yanapaswa kufanyika kwa kutumia mitandao ya SIMU, BENKI au WAKALA kupitia namba ya Kumbukumbu ya malipo (Control Number) inayotumwa katika ANKARA yako au unayopewa kwa ajili ya kufanyia Malipo ya huduma nyingine kama maunganisho mapya ya majisafi au majitaka, uondoshaji wa majitaka kwa gari au gharama za kurejesha huduma (kwa waliositishiwa huduma) ama malipo ya huduma ya maji kwa bowser.

Baada ya Malipo utapata ujumbe unao onyesha kuwa pesa imepokelewa MWAUWASA.

Epuka matapeli MWAUWASA haipokei FEDHA taslimu.

Imetolewa na:

Kitengo cha Mawasiliano

MWAUWASA