TUNASHIRIKI NANENANE

Posted On: Aug 04, 2023


MAONESHO YA WAKULIMA NANENANE 2023.

Ndugu mteja Karibu tuelimishane, tutembelee katika banda letu upate ufahamu wa masuala mbalimbali kuhusu huduma ya maji kama vile namna ya kuunganishiwa huduma, namna ya usomaji mita, namna ya kufanya malipo kwa MWAUWASA kupitia njia ya simu ya mkononi na mengine mengi.

Ni sehemu sahihi pia kwako wewe kutuletea kero na ushauri ulionao kuhusiana na huduma zetu.

Karibu tukuhudumie.

#nanenane