News
Posted On:
Sep, 22 2023
BULOLA B NA BUSENGA KUBORESHEWA HUDUMA YA MAJI

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza ,(MWAUWASA) wakiendelea na kazi ya kuunganisha mabomba ya inchi 4 katika mitaa ya Bulola B na Busenga
Kazi ya ulazaji wa mabomba inaendelea ambapo takribani kilomita 3.5 zitalazwa ili kuboresha huduma ya maji pamoja na kusogeza huduma kwa wateja wapya 323.