News
Posted On:
Sep, 22 2023
MAPAMBANO DHIDI YA UPOTEVU WA MAJI

Mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)wakifanya matengenezo katika bomba la inchi 6 katika Mtaa wa Igogo Azimio.
Matengenezo hayo yamefanyika ili kuzuia upotevu wa maji. Mapambano dhidi ya upotevu wa maji ni moja kati ya vipaumbele vya MWAUWASA.