Lipa Ankara yako ya Maji kwa wakati

Posted On: Apr 14, 2020


Ndugu Mteja, ni wajibu wetu kuhakikisha tunakupatia huduma endelevu ya majisafi nawe ni wajibu wako kuhakikisha unalipia huduma kwa wakati. Hakikisha unalipa ankara yako ya maji kwa wakati ili kuepuka kusitishiwa huduma.

TAHADHARI: Tujilinde dhidi ya maambukizi ya Virusi vya Corona kwa kuzingatia maelekezo ya Serikali