OFA YA KUREJESHEWA HUDUMA

Posted On: Mar 23, 2022


MWAUWASA inawatangazia wateja wake wote waliositishiwa huduma kutokana na kushindwa kulipa deni kuwa:

MTEJA ALIYESITISHIWA HUDUMA ATALIPA NUSU YA DENI LAKE NA ATAREJESHEWA HUDUMA YA MAJI BILA KULIPA ADA YA KUREJESHA HUDUMA (RECONNECTION FEE) NA NUSU YA DENI LITAKALOBAKIA MTEJA AFIKE OFISI YA MWAUWASA ILIYO KARIBU NAE KWA MAKUBALIANO YA MPANGO MAALUM WA MALIPO.

OFA HII NI KUANZIA TAREHE 16 MACHI, 2022 HADI TAREHE 31 31 APRILI, 2022

IMEANDALIWA NA:

KITENGO CHA UHUSIANO MWAUWASA