News
                            
                                Posted On:
                                
                                Sep, 18 2023
                            
                        
                        MABORESHO YA MIUNDOMBINU NANSIO, UKEREWE
 
                        Kazi ya kufunga matoleo maalum ya kutolea upepo ( air valves) katika mji wa Nansio, Wilaya ya Ukerewe ikiendelea kutekelezwa na mafundi wa Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA)
Kazi hiyo inahusisha ufungaji wa matoleo ya upepo matatu sambamba na kazi ya kuchomelea bomba la inch 16 ili kuboresha huduma ya maji katika maeneo ya *Nansio mjini,Kagera, Kakerege, Nakatunguru, Malegeya, Bulamaba, Bukongo,Nkikizya, Nebuye,Hamkoko na Nantare*
 
                