News

Posted On: Jul, 01 2024

MWAUWASA YASHIRIKI MAADHIMISHO YA KITAIFA SIKU YA KUPIGA VITA DAWA ZA KULEVYA 2024

News Images

Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) ni moja ya Taasisi za Serikali zilizoshiriki maadhimisho ya kitaifa siku ya kupiga vita Dawa za kulevya Duniani 2024.

Katika kilele cha maadhimisho hayo Juni 30, 2024; Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) ambaye alikuwa mgeni rasmi amezindua Sera ya Taifa ya Dawa za Kulevya nchini Tanzania.

Maadhimisho yamehudhuriwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali, Chama cha Mapinduzi, Viongozi wa kimila, Mashirika mbalimbali, Wadau na Wananchi.

Kauli mbiu ya Maadhimisho hayo ni "Wekeza kwenye Kinga na Tiba dhidi ya Dawa za Kulevya