News

Posted On: Sep, 14 2023

ZOEZI LA USOMAJI MITA LINAENDELEA

News Images

MWAUWASA inakushukuru Mwananchi unayetoa ushirikiano katika zoezi la Usomaji mita lililoanza tarehe 10 hadi 25 Septemba, 2023.

Zoezi la usomaji mita(dira) za maji linaendelea katika maeneo mbalimbali.

Kwa changamoto yoyote wasiliana nasi kupitia kituo chetu cha huduma kwa Wateja *0800110023* (Bure)