Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Makonda na viongozi wengine wakipatiwa maelezo kuhusu mradi wa Tenki la Fumagila alipotembelea eneo hilo Oktoba 2026
Mradi wa ujenzi wa Tenki la maji la Fumagila lenye ujazo wa lita milioni 10, ni sehemu ya mradi mkubwa wa matenki matano, ulazaji wa mabomba makuu na vituo vya kusukuma maji.
Mradi wa ujenzi wa Tenki la maji la Buhongwa lenye ujazo wa lita milioni 10, ni sehemu ya mradi mkubwa wa matenki matano, ulazaji wa mabomba makuu na vituo vya kusukuma maji.
Tenki la maji Misungwi, ni sehemu ya mradi wa uboreshaji wa mfumo wa usambazaji maji kwenye mji huo uliogharimu TZS Milioni 888
Eneo la chanzo cha maji Capripoint ambapo unatekelezwa mradi wa upanuzi wa chanzo hicho kuongeza uzalishaji kutoka lita milioni 90 hadi lita milioni 154 za maji kwa siku
Muonekano wa chanzo cha maji cha Butimba na Ujenzi wa Kituo cha kusukuma maji kinachoendelea kujengwa eneo hilo
Maboresho ya chanzo cha maji cha Igombe
Muonekano wa Mradi wa maji Butimba Februari 2026 unaozalisha Lita Milioni 48 kwa siku
Ziara ya Waziri Mkuu Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba alipoweka jiwe la Msingi Mradi wa uboreshaji wa mfumo wa kusambaza maji eneo la Sahwa
Mradi wa Ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (Pump house) eneo la Butimba unaendelea kutekelezwa kwa kasi, Mradi unatekelezwa ili kuboresha mfumo wa usambazaji maji katika Jiji la Mwanza
Mradi wa ujenzi wa kituo cha kusukuma maji (Pump house) eneo la Sahwa unaendelea kutekelezwa kwa kasi
Mha. Kundo Mathew (Naibu waziri wa maji) wakati wa ziara ya kukagua miradi ya ujenzi wa matenki na vituo vya kusukuma maji Januari 2026
Naibu Waziri wa maji Mha. Kundo Mathew akikagua ujenzi unaoendelea wa kisima cha maji (Sumpwell) eneo la Sahwa Januari 2026
Mradi wa ulazaji wa mabomba makuu ya usambazaji maji unaendelea, jumla ya KM 40.5 za urefu wa mtandao wa bomba zinalazwa ili kuboresha mfumo wa usambazaji maji kwa wakazi wa Mwanza
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine katika uzinduzi wa mradi wa maji wa Butimba Julai 2025.
Waziri wa maji Mhe. Jumaa Aweso akifungua mkutano wa wataalam wa Rasilimali watu, utawala, maendeleo ya jamii, mawasiliano na uhusiano wa sekta ya maji Novemba 14, 2024 katika ukumbi wa NSSF
Wanafunzi wa Shule ya Msingi "Pope John Paul II Memorial" iliyopo Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara walipofanya ziara ya mafunzo katika Mradi wa maji Butimba - MWAUWASA
Wataalamu wa maabara ya ubora wa maji wakihakiki sampuli za maji yanayozalishwa katika chanzo cha maji cha Butimba kujiridhisha na ubora wake kabla ya kuwafikia wananchi.
Kaimu mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya akisalimiana na Wadau wa Maendeleo kutoka Ulaya walipokutana kujadili utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji huduma ya maji na Usafi wa Mazingira
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Viongozi wa MWAUWASA walipotembelea kukagua Mradi wa Dharura wa maji wa Sahwa - Buhong
Muonekano wa Mradi wa maji Butimba Oktoba 2024 unaozalisha Lita Milioni 48 kwa siku
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji Kyaka- Bunazi Wilayani Misenyi Mkoani Kagera 09 Juni, 2022
Epuka kutupa Taka ngumu kwenye Mfumo wa Majitaka
Jiunge na Mtandao wa majitaka