Malipo ya Serikali yanafanyika kwa "Control Number" kupitia Benki, Wakala wa Benki ama Mitandao ya simu
Malipo ya Serikali yanafanyika kwa "Control Number" kupitia Benki, Wakala wa Benki ama Mitandao ya simu
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Mhandisi Robert Gabriel (katikati) alipotembelea mradi wa ujenzi wa chanzo cha maji eneo la Butimba
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele (kulia) na Ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW) walipotembelea mradi wa uondoshaji majitaka maeneo ya milimani.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele akielezea utendaji wa mabwawa ya majitaka ya Butuja kwa Ujumbe kutoka Benki ya Maendeleo ya Ujerumani (KfW)
Ziara ya Kamati za Bodi za MWAUWASA na MUWSA kwenye mradi wa maji Butimba
Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa vyoo vya kisasa Nyamagana
Utiaji saini mkataba wa ujenzi wa vyoo vya kisasa Ilemela
Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani 8 Machi, 2022
Waziri wa Maji, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) katika picha ya pamoja na Maafisa Ununuzi na Ugavi wa Wizara ya Maji na Taasisi zake
Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya MWAUWASA walipofanya ziara kwenye mradi wa maji wa Kyaka Bunazi
Mradi wa Kyaka/Bunazi unatarajiwa kuhudumia wananchi zaidi ya 65,000 kutoka maeneo ya Kyaka, Bunazi na maeneo mengine ya jirani
Mradi wa Bilioni 15.7 wa Kyaka Bunazi unaosimamiwa na MWAUWASA kwa niaba ya Wizara ya Maji
Epuka kutupa Taka ngumu kwenye Mfumo wa Majitaka
Mwenyekiti wa MWAUWASA, Christopher Gachuma akizungumza wakati wa Kikao na Wadau wa Maji
Ziara ya Wadau wa Maji kwenye Chanzo cha Maji cha Capripoint
Naibu Waziri wa Maji, Mhandisi Maryprisca Mahundi (katikati) wakati wa ziara yake kwenye mradi wa tenki la maji Sahwa
Jiunge na Mtandao wa majitaka
Tenki la maji la Igelegele linahudumia wakazi wa Bugarika, Mlalahansi, Bendera Tatu, Igelegele, Nyakurunduma, SOS Village, Igogo, Mahina Mashariki na Mabumbani
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA, Mhandisi Leonard Msenyele (kulia) akipokea Cheti cha Ushindi kutoka kwa Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Ziwa
The Headquarter of Mwanza Urban Water Supply and Sanitation Authority (MWAUWASA)
Ujenzi wa tenki la maji la Nyegezi Majengo Mapya umekamilika
Moja ya tenki la maji lililojengwa eneo la Mjimwema kupitia Mpango wa Uboreshaji wa Huduma ya Maji na Usafi wa Mazingira katika Jiji la Mwanza lengo likiwa ni kuongeza upatikanaji wa huduma