                     Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine  katika uzinduzi wa mradi wa maji wa Butimba Julai 2025.
                                        
                                            Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Samia Suluhu Hassan na viongozi wengine  katika uzinduzi wa mradi wa maji wa Butimba Julai 2025.
                                        
                                     Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akagua maendeleo ya ujenzi wa tenki la maji Kisesa
                                        
                                            Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akagua maendeleo ya ujenzi wa tenki la maji Kisesa
                                        
                                    .jpeg) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipatiwa maelezo kuhusu hatua iliyofikiwa katika mradi wa ujenzi wa tenki la maji Kisesa
                                        
                                            Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipatiwa maelezo kuhusu hatua iliyofikiwa katika mradi wa ujenzi wa tenki la maji Kisesa
                                        
                                     Katika picha ni Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso (MB)na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Edriss Mavura alipowasili Jijini  Seoul  kwa mualiko maalum wa Benki ya Exim
                                        
                                            Katika picha ni Waziri wa Maji Mhe Jumaa Hamidu Aweso (MB)na Balozi wa Tanzania nchini Korea Kusini Mhe. Togolani Edriss Mavura alipowasili Jijini  Seoul  kwa mualiko maalum wa Benki ya Exim 
                                        
                                     Waziri wa maji Mhe. Jumaa Aweso akifungua mkutano wa wataalam wa Rasilimali watu, utawala, maendeleo ya jamii, mawasiliano na uhusiano wa sekta ya maji Novemba 14, 2024 katika ukumbi wa NSSF
                                        
                                            Waziri wa maji Mhe. Jumaa Aweso akifungua mkutano wa wataalam wa Rasilimali watu, utawala, maendeleo ya jamii, mawasiliano na uhusiano wa sekta ya maji Novemba 14, 2024 katika ukumbi wa NSSF 
                                        
                                     Wanafunzi wa Shule ya Msingi "Pope John Paul II Memorial" iliyopo Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara walipofanya ziara ya mafunzo katika Mradi wa maji Butimba - MWAUWASA
                                        
                                            Wanafunzi wa Shule ya Msingi "Pope John Paul II Memorial" iliyopo Nyamongo Wilayani Tarime Mkoani Mara walipofanya ziara ya mafunzo katika Mradi wa maji Butimba - MWAUWASA
                                        
                                     Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya (kulia) alipotembelea Ofisi za NEMC Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Lilian Lukambuzi (katikati) Novemba 15
                                        
                                            Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya (kulia) alipotembelea Ofisi za NEMC Jijini Dar es Salaam na kupokelewa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa NEMC Lilian Lukambuzi (katikati) Novemba 15
                                        
                                     Wanafunzi wa shule ya msingi Sahara wakifurahi baada ya kupatiwa elimu ya usafi wa mazingira na Maafisa kutoka MWAUWASA
                                        
                                            Wanafunzi wa shule ya msingi Sahara wakifurahi baada ya kupatiwa elimu ya usafi wa mazingira na Maafisa kutoka MWAUWASA
                                        
                                     Wataalamu wa maabara ya ubora wa maji wakihakiki sampuli za maji yanayozalishwa katika chanzo cha maji cha Butimba kujiridhisha na ubora wake kabla ya kuwafikia wananchi.
                                        
                                            Wataalamu wa maabara ya ubora wa maji wakihakiki sampuli za maji yanayozalishwa katika chanzo cha maji cha Butimba kujiridhisha na ubora wake kabla ya kuwafikia wananchi.
                                        
                                     Kaimu mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya akisalimiana na Wadau wa Maendeleo kutoka Ulaya walipokutana kujadili utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji huduma ya maji na Usafi wa Mazingira
                                        
                                            Kaimu mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya akisalimiana na Wadau wa Maendeleo kutoka Ulaya walipokutana kujadili utekelezaji wa Mradi wa uboreshaji huduma ya maji na Usafi wa Mazingira 
                                        
                                     Watumishi wa MWAUWASA wakifuatilia hotuba ya Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso alipotembelea Makao makuu ya MWAUWASA na kuzungumza na Watumishi Septemba 2024
                                        
                                            Watumishi wa MWAUWASA wakifuatilia hotuba ya Mhe. Waziri wa Maji Jumaa Aweso alipotembelea Makao makuu ya MWAUWASA na kuzungumza na Watumishi Septemba 2024
                                        
                                     Mwenyekiti wa Bodi ya MWAUWASA Christopher Gachuma (wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya na Wabunge wa Majimbo ya Nyamagana na Magu wakiwa katika Mradi
                                        
                                            Mwenyekiti wa Bodi ya MWAUWASA Christopher Gachuma (wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MWAUWASA Neli Msuya na Wabunge wa Majimbo ya Nyamagana na Magu wakiwa katika Mradi 
                                        
                                     Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda akipata maelezo kuhusu Mradi wa Maji Butimba alipotembelea Mradi huo Mei 2024
                                        
                                            Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. Said Mtanda akipata maelezo kuhusu Mradi wa Maji Butimba alipotembelea Mradi huo Mei 2024
                                        
                                     Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Viongozi wa MWAUWASA wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Neli Msuya, wakikagua Pa
                                        
                                            Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Viongozi wa MWAUWASA wakiongozwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Neli Msuya, wakikagua Pa
                                        
                                     Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Viongozi wa MWAUWASA walipotembelea kukagua Mradi wa Dharura wa maji wa Sahwa - Buhong
                                        
                                            Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso akiwa pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri na Viongozi wa MWAUWASA walipotembelea kukagua Mradi wa Dharura wa maji wa Sahwa - Buhong
                                        
                                     Muonekano wa Mradi wa maji Butimba Oktoba 2024 unaozalisha Lita Milioni 48 kwa siku
                                        
                                     Kaimu Mkurugenzi Mtendaji MWAUWASA, Neli Msuya akishiriki zoezi la maboresho ya miundombinu ya maji Kanindo- Kishiri 21/05/2024
                                        
                                            Kaimu Mkurugenzi Mtendaji MWAUWASA, Neli Msuya akishiriki zoezi la maboresho ya miundombinu ya maji Kanindo- Kishiri 21/05/2024
                                        
                                     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji Kyaka- Bunazi Wilayani Misenyi Mkoani Kagera 09 Juni, 2022
                                        
                                            Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji Kyaka- Bunazi Wilayani Misenyi Mkoani Kagera 09 Juni, 2022
                                        
                                     Epuka kutupa Taka ngumu kwenye Mfumo wa Majitaka
                                        
                                            Epuka kutupa Taka ngumu kwenye Mfumo wa Majitaka
                                        
                                     Jiunge na Mtandao wa majitaka
                                        
                                            Jiunge na Mtandao wa majitaka
                                        
                        ![[150x90]](https://www.mwauwasa.go.tz/uploads/news/1758119962-Screenshot 2025-09-17 173640.jpg) 
                                            ![[150x90]](https://www.mwauwasa.go.tz/uploads/news/1758119734-Screenshot 2025-09-17 172416.jpg) 